UKURASA WA 514; Uliyekuwa Unamsubiri Ameshafika.

By | May 30, 2016
Pale tunapotaka kuwa na maisha bora na yenye mafanikio makubwa, tunajua tunahitaji kufanya mambo makubwa ambayo hatujawahi kufanya hapo awali. Na hapa ndipo tunagundua ya kwamba hatuna uwezo huo na hivyo kuhitaji uwezo kutoka nje yetu. Tulipokuwa watoto tulikuwa tunajipa sababu ya udogo na hivyo kusema tukiwa wakubwa tutafanya kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz