MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 522; Kila Mtu Anataka Wewe Ushindwe…
Jambo moja ambalo unaweza usifurahi sana kulisikia ni kwamba kila mtu anataka wewe ushindwe. Ndiyo kila mtu, hasa wale wa karibu zaidi kwako, ndiyo wanataka ushindwe zaidi. Pale unapochagua kufanya mambo makubwa, ambayo wengine hawayafanyi, kila mtu atataka wewe ushindwe. Hii ni kwa sababu kama ukiweza kufanikiwa kufanya, wao watajisikia