MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 523; Kipimo Halisi Cha Kujifunza…
Kipimo halisi cha kujifunza ni kubadili tabia. Haijalishi unajua kiasi gani, kama tabia yako haiendani na kile unachojua, basi unachojua hakina msaada wowote kwako. Na hiki ndiyo kipimo cha hekima, hekima haitokani na kujua bali kufanyia kazi kile ambacho unakijua. Kwa mfano mtu ambaye ni daktari wa binadamu, anajua kabisa