MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 527; Punguza Maamuzi Unayofanya…
Moja ya vitu ambavyo vinamaliza nguvu zetu ni idadi ya maamuzi tunayofanya. Ubongo wetu ndiyo kiungo cha miili yetu ambacho kinatumia sehemu kubwa ya nguvu ya mwili. Na kwa kuwa ubongo ndio unaohusika kwenye maamuzi, kadiri unavyofanya maamuzi mengi ndivyo nguvu nyingi inavyotumika. Miili yetu kwenye nguvu ni kama betri.