MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Njia bora za kutatua hali ya kutoelewana baina yako na mteja wako.
Biashara zina changamoto mbalimbali katika uendeshaji. Zile biashara ambazo unaona zimekua na kufanikiwa, siyo kwamba hazina changamoto ila waendeshaji wa biashara hizo wanajua jinsi ya kukabiliana na changamoto za kibiashara wanazokutana nazo. Moja ya changamoto ambazo zinasumbua biashara nyingi ni hali ya kutokuelewana baina ya mteja na mfanyabiashara. Kuna nyakati