MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 540; Umuhimu Wa Kupiga Hatua Nyuma…
Tumekuwa tunafikiri ya kwamba ili kufanikiwa kwenye maisha, mara zote tunahitaji kupiga hatua mbele. Tunahitaji kwenda mbele kwa mbele na nyuma ni mwiko kabisa. Lakini hakuna sehemu muhimu kwenye mafanikio yako kama kupiga hatua nyuma. Tena naweza kusema kama unaona kila kitu kinakwenda mbele peke yake kuwa na wasiwasi, huenda