MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 550; Vitu Vitatu Vinavyowaangusha Wengi Wanapokaribia Mafanikio…
Tumekuwa tunaona watu wengi ambao wanaelekea kwenye mafanikio. Watu hawa wanakuwa wamejitoa kweli, wanaweka juhudi kubwa na dalili zinaonesha kwamba watafika mbali. Lakini ghafla tunaona wanaporomoka na kuondoka kabisa kwenye uelekeo wa mafanikio. Tunaweza kupata sababu nyingi za nje zinazopelekea hali hizo, lakini mara zote sababu huwa zinaanzia ndani ya