MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 557; Wale Waliopo Chini, Hiki Ndiyo Kinawaweka Chini…
Kwenye kila eneo la maisha, kuna watu ambao wapo chini. Watu ambao wana maisha magumu sana kuliko wengine wote. Watu ambao kipato chao ni kidogo sana na wakati mwingine ni watu ambao wanafanya mambo mengi sana. Lakini bado wapo chini na wanaendelea kuwa chini. Ni kitu gani kinawafanya waendelee kuwa