MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Ajiri Taratibu, Fukuza Haraka…
Mafanikio ya biashara yoyote yanatokana na falsafa ambayo biashara hiyo inaendeshwa nayo. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wanaotokea kwenye nchi ambazo ni za kibepari, wana falsafa tofauti kabisa na wale wanaotokea kwenye nchi za kijamaa. Nchi za kibepari kama marekani, zina ushindani mkubwa sana wa kibiashara na hivyo watu kujali ubora wa