MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 574; Angalia Msingi…
Kabla ya kujenga nyumba, tunajenga kwanza msingi. Ukitaka kujua uimara wa nyumba, hata kama bado haijakamilika, angalia uimara wa msingi. Msingi unatupa picha kubwa sana kuhusu nyumba. Msingi ukiwa siyo imara tunajua kabisa ya kwamba nyumba inayojengwa siyo imara, labda ni banda tu. Kadiri msingi unavyokuwa imara, unavyokwenda chini tuna