MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 584; Mtu Mwema Ambaye Kila Baya Linamkuta Yeye Tu…
Ukiwasikiliza watu jinsi wanavyokueleza maisha ni magumu kwao, unaweza kupata huruma sana kwa namna ambavyo maisha siyo “fair” kwao. Utaona huruma sana kwa nini kila baya linawafika wao tu. Watakueleza jinsi walivyo wema, jinsi ambavyo wanakazana kufanya, lakini hali au watu wengine wanakuja kuharibu kila kitu. Watakuambia jinsi ambavyo waajiri