MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 588; Kuchukiwa Na Kupendwa…
Kile ambacho baadhi ya watu watakuchukia nacho, ndiyo hicho hicho ambacho baadhi ya watu watakupenda nacho. Kwa lugha rahisi kwa jinsi ulivyo na kwa vile unavyofanya, kuna watu ambao watakupenda na kuna ambao watakuchukia. Ukiwa mwaminifu kunwa watu ambao watakupenda kwa uaminifu wako, vile vile wapo watakaokuchukia kwa uaminifu wako,