MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 592; Kata Kona….
Unapokuwa barabarani iwe unatembea kwa miguu au unaendesha gari, utafika sehemu ya barabara ambayo imepinda. Hakuna barabara ambayo imenyooka moja kwa moja, hivyo unapofika kwenye sehemu iliyopinda unachofanya ni kukata kona, ili kuendelea kuifuata barabara itakayokufikisha kwenye safari yako. Kama utafika kwenye kona halafu ukakataa kukata kona kwa sababu unataka