MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 599; Wingi Na Ubora…
Wingi na ubora ni vitu viwili vinavyokwenda pamoja, lakini kimoja ni muhimu zaidi ya kingine, kwenye maeneo mengi ya maisha yetu. Kwenye wingi tunaangalia kile kiasi halisi cha kitu wakati kwenye ubora tunaangalia sifa halisi au aina ya kitu hicho. Je ni kipi kinahitaji kuanza, wingi au ubora? Tuangalie kwenye