MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 602; Hatari Ya Kufanikiwa Kwenye Kila Unachofanya…
Lengo la kila mmoja wetu ni kuwa na mafanikio makubwa kwenye maisha yake. Kuwa na biashara yenye mafanikio, inayokua na kutuletea faida kubwa mara zote. Tuwe na kazi zenye mafanikio, ambapo tunafanya makubwa na kupata matokeo makubwa. Na maisha yetu kwa ujumla yawe ya mafanikio, chochote tunachogusa kinageuka kuwa mafanikio,