MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 654; Kupiga Kelele Zaidi Ya Wengine….
Tunaishi kwenye dunia ambayo ina kelele nyingi na za kila aina. Kila ambacho unakifanya kuna watu wengi ambao wanafanya pia. Kama unafanya biashara, kuna wengi wanaofanya biashara kama yako. Kama umeajiriwa kuwa wengi wanaofanya kazi kama unayofanya wewe. Kama unaandika kuna wengi wanaoandika kama wewe. Kama unaimba wapo wengi wanaoimba