MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 658; Sababu Halisi…
Ni vigumu sana kujua sababu halisi ya watu kufanya kile wanachokifanya, kwa sababu mara nyingi hawatakueleza sababu halisi, hasa kama itakuumiza. Kuna mtu anaweza kugombana na wewe, anaweza kukukasirikia na hata kukujibu vibaya. Anaweza kukupa sababu ya yeye kufanya hivyo, lakini mara nyingi hiyo siyo sababu halisi. Huwa kunakuwa na