MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; JIDHIBITI MWENYEWE….
Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo, ambapo tumepata nafasi nzuri ya kwenda kuweka juhudi zaidi kwenye kile tunachofanya. Hii ni nafasi ya kipekee rafiki yangu, tuitumie vizuri. Asubuhi ya leo tutafakati kuhusu KUJIDHIBITI WEWE MWENYEWE. Watu wengi wamekuwa wakikazana kutafuta