MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 680; Lolote Linaweza Kutokea, Mwamuzi Ni Wewe.
Katika safari yako ya mafanikio, wapo watu wengi ambao watakupa maoni yao. Watakupa kila sababu kwa nini maoni yao ni sahihi na unapaswa kuyafuata. Watakuonesha na mifano, huku wakikupa ushahidi wa kweli kwamba wanachosema wao ndiyo sahihi. Lakini unajua nini, hata waseme mambo mazuri kiasi gani, bado yale ni maoni