MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 694; Miliki Chochote Unachofanya…
Katika maisha, kuna makundi mawili makubwa ya watu; Kuna wamiliki wa vitu, hawa ni wale ambao wanachukua mamlaka makubwa juu ya kitu chochote na kuhakikisha kinakwenda kama wanavyotaka kiende. Watu hawa wanaweka juhudi kubwa kuhakikisha wanatoa matokeo makubwa. Kama kitu chochote hakitokei, wanajua ni kwa sababu kuna juhudi hawajaweka. Kuna