MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 695; Tumia Nafasi Yako Ya Kuchagua Vizuri…
Kwenye maisha yetu, tunazo nafasi za kuchagua vile tunavyotaka wenyewe na nafasi nyingine hatuwezi kuchagua wenyewe, tunajikuta tayari tupo kwenye nafasi hizo. Kwa mfano huwezi kuchagua uzaliwe na wazazi gani, au wadogo na ndugu zako wawe watu wa aina gani. Hawa ni watu wanaokuja na kuwepo kwenye maisha yako bila