MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
š„ #TAFAKARI YA LEO; WHITE, BLACK NA GREY….
Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa nafasi hii ya kipekee nw nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya kwenye maisha yetu. Itumie nafasi ya leo vizuri rafiki yangu, haitarudi tena ikishapita. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NYEUPE, NYEUSI