MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; JANA NA KESHO….
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Tunaweza kufanya makubwa kwa msingi huu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu JANA NA KESHO. Hizi ni siku