MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; UBISHI….
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Tutumie siku hii ya leo kufanya makubwa kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu UBISHI… Hakuna chochote kikubwa unachotaka