MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
π₯ #TAFAKARI YA LEO; UNAJULIKANA KWA LIPI??
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora zaidi. Leo hii ishi kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili uweze kufanya makubwa zaidi. Asubuhi ya leo tutafakari unachojulikana nacho, Je ni sifa