MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; OPTIONS (MACHAGUO.)
Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni matumaini yangu umeianza siku hii vyema na upo tayari kwenda kuweka juhudi kubwa ili uweze kupata matokeo makubwa. Nafasinya leo ni ya kipekee, itumie vizuri. Kumbuka msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambao