MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Falsafa na maisha ya watu.
Kumekuwepo na mifumo mbalimbali ya falsafa tangu kuwepo kwa dunia. Kwa sababu mara zote watu wamekuwa wakihoji juu ya mambo mbalimbali, kama uwepo wa dunia na mengine. Falsafa ilikuwa ikichukuliwa kama kitu cha kufikiria na kubishana pekee. Mpaka wakati wa mwanafalsafa Socrates, ambaye hakuishia tu kufikiri na kuhoji, bali