MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; DUNIA HAITAKUACHIA KIRAHISI….
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Tumepata nafasi nyingine ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora zaidi. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu dunia kutokuacha kirahisi. Kamwe dunia haitakuacha kirahisi, upate kila