MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
HASIRA – Jinsi ya kushinda hali ya kutokuwa na furaha.
Hasira ni moja ya hisia hasi tunazokutana nazo kutokana na mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye siku zetu. Kwa kuwa wastoa tunapenda kuwa na utulivu, hasira zinavuruga utulivu wetu. Hovyo wastoa wanatushauri kutoendekeza hasira. Seneca anasema kwamba hasira ni ukichaa wa muda mfupi, yaani unapokuwa na hasira, huna tofauti na kichaa