MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mbinu za kisaikolijia za kistoa – KUJINYIMA MWENYEWE.
Moja ya mizigo mikubwa ambayo watu wanajijengea wenyewe ni tamaa na kupenda raha. Hivyo watu wengi hukazana sana kuhakikisha kwamba wanapata kila raha wanayotaka. Lakini mtego unakuja, pale wanapopata raha hiyo, wanakiwa na hofu ya kuipoteza na hivyo wanashindwa kuifurahia raha waliyopata. Wastoa wanatushirikisha mbinu mbili muhimu za kuweza kuondokana