MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; LET GO OF REACTION…
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni ile siku ambayo jana ulisema kesho nitafanya. Kesho yenyewe ndiyo hii, hivyo basi tunza ahadi yako. Tafadhali sana usiseme tena kesho utafanya, hakuna kesho nyingine zaidi ya leo. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa