MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kubana Matumizi Siyo Mbinu Ya Kutajirika, Mbinu Hasa Ni Hii.
Linapokuja swala la fedha, kuna vitu vikuu viwili; Cha kwanza ni mapato, kile ambacho unapata kutoka kwenye kazi au biashara ambayo unaifanya. Kitu cha pili ni matumizi, namna ambavyo unatumia kile kipato chako. Changamoto kubwa sana kwenye fedha huwa inaanza pale matumizi yanapozidi mapato, hapo ndipo wengi hujikuta wanaingia kwenye