MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; ANDIKA MANENO HAYA SITA LEO NA KILA SIKU….
Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Tutumie nafasi hii vizuri rafiki. Asubuhi ya leo tunakwenda kutafakari kuhusu maneno sita muhimu yanayotuongoza kwenye maisha yetu ya