MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; NJIA YA MKATO, UTAISHIA NA MIKATO….
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwends kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutakwenda kuweka juhudi kubwa leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NJIA