MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥#TAFAKARI YA LEO; HOFU NA CHUKI…
MAKIRITA AMANI: Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri ya leo. Ni siku mpya ya wiki mpya ambapo tuna masaa 168 mbele yetu. Ushauri wangu muhimu kwako ni huu, tumia sehemu kubwa ya masaa hayo kwenye kazi, na usipoteze hata dakika moja kwa mambo yasiyo muhimu. Ianze wiki hii