MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Usifikirie Kuhusu Washindani, Fikiria Kuhusu Wateja Wako…
Nikupe siri moja muhimu kuhusu biashara, haipo biashara ambayo utaweza kufanya wewe pekee hapa duniani. Hata kama utajiwekea hatimiliki ya wazo lako la biashara, watu watabadili kidogo na kufanya kama wanavyotaka wao wenyewe. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanapoteza muda na rasilimali nyingi kuangalia washindani wa kibiashara wanafanya nini kuliko wanavyotumia kwenye