BIASHARA LEO; Anza Na Kitu Ambacho Watu Tayari Wanakihitaji.

By | September 4, 2017
Kwenye kitabu cha The Lean Startup, mwandishi Erick Ries anatushirikisha dhana ya MVP ambayo kirefu chake ni Minimum Viable Product. Dhana hii inaeleza kwamba unapoanza biashara, anza na bidhaa ambayo haujakamilika, lakini iwe na sifa ambazo inaweza kumsaidia mtu. Badala ya kutumia nguvu nyingi kuja na bidhaa au huduma kamili,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz