MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Falsafa ya ustoa na matumizi yake katika jamii.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 74 – 83. Falsafa ya ustoa na matumizi yake katika jamii. Falsafa ya ustoa imekuwa ikichukuliwa kwa mtazamo hasi, kwamba wastoa ni watu ambao wanaficha na kukandamiza hisia