MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Watu Hawapendi Kuuziwa, Bali Wanapenda Kununua.
Hii ni dhana ambayo itakusaidia sana kubadili mtazamo wako kibiashara, hasa pale unapokutana na mteja wako. Japokuwa upo kwenye biashara kuuza bidhaa na huduma unazotoa, kumbuka kwamba mteja haji kwako kwa sababu wewe unauza. Bali mteja anakuja kwako kwa sababu ana shida au changamoto, na ana amini ya kwamba wewe