MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI; Jinsi ya kutawala fikra zako na kudhibiti maisha yako.
KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 167 – 176. Miaka mingi iloyopita, mwanafalsafa Plato alisema kwamba sisi binadamu tuna nafsi zaidi ya moja. Na kinachofanya maisha yetu kuwa magumu, niale tunaposhindwa kudhibiti kila nafsi na kujikuta tunataka kuirishisha