MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI; Matatizo ya dunia yataisha iwapo itatawaliwa na wanafalsafa.
KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa; 177 – 186.. Mwanafalsafa Plato, kupotia kitabu chake cha The Republic, aliandika kwamba dunia itatulia na kuwa sehemu salama, iwapo wanafalsafa wataitawala dunia. Aliamini changamoto ambazo dunia inipitia, zinaweza kutatuliwa na wanafalsafa