MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Je kuna kifo kizuri?
KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 217 – 226… Wanafalsafa wa kigiriki waliamini kwamba kifo ni zoezi la kiimani. Waliamini maisha yote tunayoishi, ni kujiandaa na zoezi kuu ambalo ni kifo. Socrates alisema falsafa ni kujiandaa na kifo.