MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Maswali Matatu Muhimu Kujiuliza Kuhusu Wateja Wa Biashara Yako.
Mambo yanabadilika kwa kasi sana, na biashara nazo hazijaachwa nyuma. Kuweza kupona kibiashara kwenye zama hizi za mabadiliko, lazima uwe mbele ya mabadiliko. Lazima uweze kubadilika kabla mabadiliko hayajafika. Tabia za watu zinabadilika sana kwa sasa, na hii inakufanya wewe mfanyabiashara kuzielewa tabia za wateja wako, ili uweze kuwahudumia vizuri