MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KAULI CHANYA YA KUIANZA SIKU…
Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Ni siku nyingine nzuri sana ya leo, ambapo tumepata nafasi bora na ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya