MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Mshauri Muhimu Kuhusu Huduma Kwa Wateja Kwenye Biashara Yako Ni Huyu…
Huwa nasema mtu wa kwanza kuchukua ushauri wake kuhusu wateja wa biashara yako ni wewe mwenyewe. Na unafanya hivyo kwa kuangalia huduma unazopata kutoka kwa wafanyabiashara wengine pale unapokwenda kupata huduma mbalimbali, hata kama haziendani na biashara yako. Kila mmoja wetu, huwa anapata hisia fulani anapokwenda kwenye biashara nyingine. Huenda