UKURASA WA 1029; Huwezi Kuukimbia Ugumu, Unaweza Kuuhamisha Kwa Muda.

By | October 25, 2017
Dunia imekuwa inawadanganya watu kitu kimoja, kwamba ipo njia ya kukimbia ugumu, ipo njia nyepesi na ambayo haina changamoto wala ugumu wowote. Ukiwa kwenye njia hiyo, wewe ni kwenda tu, hakuna cha kukusumbua. Na watu wanajaribu njia hizo, zinafanya kazi kweli, kweli ugumu unaondoka, inakuwa kama ni maajabu. Wakati wengine

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz