UKURASA WA 1033; Usiache Muda Wazi, Sawa Na Fedha Pia…

By | October 29, 2017
Ukishagundua udhaifu wako, hasa kwenye muda na fedha ambapo wengi tuna changamoto kubwa, unahitaji kuwa na mbinu ambao inazuia ule udhaifu wako usiwe kikwazo. Kwa mfano, unapokuwa na muda ambao hujaupangilia, lazima muda huo utapotea, na hutajua umepoteaje kwa sababu hukuwa umepangilia muda huo. Kwanza hutajua hata kama umepotea, kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz