MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Ni hatua zipi zitakazofuata kwenye biashara yako?
Kitu kigumu kwa wengi huwa kimekuwa ni kuingia kwenye biashara. Wengi wanapata shida wakati wa kuchagua biashara gani wafanye na wapate wapi mtaji. Wakishavuka hatua hiyo na kuweza kuanza biashara, wengi huishia hapo. Biashara zao zinabaki kwenye ngazi ile ile ambayo walianzia na hazikui zaidi. Wanaendesha biashara zao kwa mazoea