MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1034; Ukishusha Viwango Umechagua Kushindwa…
Kila mtu katika wakati fulani wa maisha yake, ameshawahi kuwa na ndoto kubwa sana za maisha yake. Ukianza na zile za utoto kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani, zipo nyingi ambazo watu wanaendelea kuwa nazo. Wanakuwa na malengo na mipango ambayo ni mikubwa, yenye manufaa kwao na kwa wengine pia.