UKURASA WA 1036; Kujikera Na Kuwakera Wengine…

By | November 1, 2017
Tabia mbili kuu tulizonazo ambazo zinatuzuia kabisa kufanikiwa ni uvivu na kupenda kuwafurahisha wengine. Hatupendi kufanya vitu ambavyo ni vigumu, vitu ambavyo vinatupa changamoto na kutusukuma zaidi, vitu ambavyo tunaweza kushindwa. Lakini vitu hivyo ndiyo muhimu kwa mafanikio yetu, vitu hivyo ndiyo vyenye maana kubwa kwetu na ndiyo vyenye mchango

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz